APP YA KWANZA YA MAWASILIANO YA KISWAHILI

#UpwekeSasaBasi

PAMOJA NI APP YA MAPINDUZI

Imetengenezwa maalum kuwaleta pamoja watu wanaoongea Kiswahili kote duniani. App maalum inayokuwezesha kuwasiliana,pia kukutana na watu unaovutiwa nao kulingana na eneo wanalotoka. Vyote hivi unaweza kufanya moja kwa moja kwenye App yako ya Pamoja.

Vitu vya kipekee
vinavyovutia

Pamoja ni App ya Kiswahili

App ya kwanza ya mawasiliano ya mtandao kwa Kiswahili. Imetengenezwa maalum kwa wanaoongea Kiswahili.

Nivutie

Je hauna uhakika kama kuna anayekuvutia kwenye App ya Pamoja? Mbona rahisi, waombe wakufanye uvutiwe nao kwa kubonyeza kitufe cha "Nivutie". Watu ninoma.

Sehemu za kukutana **Itaanza punde**

Tumechagua sehemu zinazovutia kulingana na unachopenda, chagua sehemu unayotaka kwenda kwenye chumba cha kuchat na mpeleke uliyemchagua.

Tembelea vitu pekee na vinavyovutia vilivyomo kwenye App

Tunaelewa, unakutana na watu kila siku na labda hauna uhakika unajisikiaje kuhusu wao. Tunakupa nguvu ya kuwafanya watu hawa wajaribu kukuvutia. Kwa njia hiyo, tunahakikisha lazima ukutane na chaguo lako sahihi.

Jielezee/

Onyesha uzoefu wako kwa kujieleza, kuweka stika,video na vipande vya sauti na wafanye wengine wafanye hivyohivyo.

Wavutie wengine/

Je hauna uhakika kama kuna anayekuvutia kwenye App ya Pamoja? Mbona rahisi, waombe wakufanye uvutiwe nao kwa kubonyeza kitufe cha "Nivutie". Watu noma.

Ni rahisi kuitumia/

Imetengenezwa kukufanya uitumie kirahisi na kutafuta unaevutiwa nae kwa uharaka Zaidi ya unavyoweza kulitamka neno Pamoja.

/Chagua unaoendana nao

Sahau kuhusu watu wanaoboa katika maisha yako. Pamoja inakuwezesha kupata watu pekee unaoendana nao.

/Tafuta watu walio karibu yako

Tumetengeza App ya Pamoja kukuletea watu walio karibu nawe kwa urahisi au unaweza kuchagua walio sehemu unayotaka kwenda.

/Kutana na uliyevutiwa nae

Tumechagua sehemu zinazovutia kulingana na unachopenda, chagua sehemu unayotaka kwenda kwenye chumba cha kuchat na mpeleke uliyemchagua.**Itaanza punde**

APP NZURI | JIONEE UZURI WAKE

Tuna mtumiaji mmoja tu. Ambaye ni wewe. Tumeitengeneza kiubunifu na kupangilia yaliyomo kuhakikisha unaitumia kwa urahisi. Jaribu kuitumia leo, halafu utuambia jinsi gani ilivyo na mzuka.

JINSI INAVYOFANYA KAZI

Kutumia Pamoja App ni rahisi lakini tumefanya iwe rahisi zaidi kuielewa kupitia mwongozo huu. Ebu cheki!

Imetengenezwa kwa ajili ya

WANAWAKE

Imetengenezwa kwa ajili ya

WANAUME

Watu kibao ulio karibu nao wanatumia App ya Pamoja kutafuta wenza na kuanza nao mawasiliano. Wewe si una simu ya Android? Sasa unangoja nini? Ipakue sasa hivi. Tunakuja kwenye mifumo mingine muda si mrefu kukuletea watu Zaidi kwa ajili yako.

WATU WANASEMA NINI KUHUSU APP HII

Pakua sasa

Watu kibao ulio karibu nao wanatumia App ya Pamoja kutafuta wenza na kuanza nao mawasiliano. Wewe si una simu ya Android? Sasa unangoja nini? Ipakue sasa hivi. Tunakuja kwenye mifumo mingine muda si mrefu kukuletea watu Zaidi kwa ajili yako.

Inapatikana kwenye

Google Play Store.

FUATA MAPINDUZI KWENYE

Instagram Feeds